Sifa za Sanaa za Maoneshoo
Ni zipi sifa za sanaa za maonesho ya kiafrika?
- Dhana inayotendeka
- Uwanja wa kutendea
- Watendaji
- Hadhira
- kusudio la kisanaa
- muktadha wa kisanaa
- ubunifu
Comments
Post a Comment