SIFA ZA USHAIRI WA KIJADI

Ushairi ni nini?
Ni sanaa ya lugha ya mkato yenye ubunaji inayosawiri au kueleza jambo kwa hisi, hali au maono kwa namna yenye kuvutia hisia  na katika mpangilio wa maneno yenye urari wa wizani.
Ushairi wa kijadi unasifa zifuatazo;
 Madondoo haya machache yanaonesha mtazamo wa washairi wa Kiswahili au wakijadi kuhusu maana ya ushairi

  • Ushairi ni wimbo
  • Wenye maneno ya hekima
  • Wenye lugha ya mkato
  • wenye lugha nzito
  • wenye urari wa vina na mizani
  • wenye hisia ( mguso wa moyo)

Comments

Popular posts from this blog

AINA KUU ZA FASIHI NA TOFAUTI ZAKE

UKUMUSHI KATIKA VITENZI VYA KISWAHILI

UREJESHAJI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI